Windows

Tetesi za soka Ulaya Jumatatu tarehe 14.10.2019: Fernandes, Mandzukic, Rakitic, Mbappe, Eriksen, Rice

Tottenham wameanza upya kuelezea haja yao ya kumtaka mchezaji wa kimataifa wa safu ya kati wa klabu ya Sporting Lisbon ya Ureno Bruno Fernandes, mwenye umri wa miaka 25 tena mwezi Januari (A Bola , via Mail)

Post a Comment

0 Comments