Windows

Tetesi za soka Ulaya Jumatano tarehe 16.10.2019: Kante, Mandzukic, Giroud, Bale, Mourinho

Real Madrid wanajiandaa kutoa ofa ya pauni milioni 86 kwa Mcolombia James Rodriguez mwenye umri wa miaka 28 anayecheza safu ya kati ili kusaini mkataba na kiungo wa kati wa Chelsea Mfaransa N'Golo Kante. (El Desmarque, via Sport Witness)

Post a Comment

0 Comments