Windows

Tetesi za soka Ulaya Jumapili 06.10.2019: Pogba, Chilwell, Wilson, Pulisic, Son, Haaland

Leicester City wanamsaka mchezaji atakayeichukua nafasi ya beki wa kushoto mwenye miaka 22 Ben Chilwell, huku Chelsea na Manchester City wakiongoza mvutano wa kumsajili mchezaji huyo wa timu ya tiafa ya England.

Post a Comment

0 Comments