Windows

Tetesi za soka Ulaya Jumanne tarehe 15.10.2019: Allegri, Evra, Emerson, Kante, Mandzukic

Meneja wa zamani wa Juventus Massimiliano Allegri angependelea mchezaji wa zamani wa safu ya ulinzi Manchester United Patrice Evra kujiunga na makocha wasaidizi katika Old Trafford ikiwa atateuliwa kuwa meneja

Post a Comment

0 Comments