Windows

Tetesi za soka Ulaya Alhamis tarehe 17.10.2019: Eriksen, Allegri, Longstaff, Mandzukic

Newcastle watatoa ofa ya miaka mitano zaidi ya mkataba na mchezaji wa safu ya mashambulizi Muingereza Matty Longstaff mwenye umri wa miaka 19 ambaye anakamilisha mkataba wake msimu ujao. (mail)

Post a Comment

0 Comments