Windows

Lamine Diaby-Fadiga alifutwa kazi na klabu ya Nice baada ya kumuibia mchezaji mwenzake saa

Klabu ya ligi ya daraja la kwanza nchini Ufaransa Nice imemfuta kazi mchezaji wake Lamine Diaby - Fadiga baada ya kukiri kuiba saa ilio na thamani ya £62,000 kutoka kwa mchezaji mwenzake Kasper Dolberg.

Post a Comment

0 Comments