Windows

Ineos Challenge 1:59: Kwa nini rekodi ya Eliud Kichoge haitatambulika kama rekodi ya dunia

Mkenya Eliud Kipchoge ameweka jina lake katika vitabu vya historia , akimaliza kilomita 42 za mbio za marathon kwa saa moja dakika 59 na sekunde 40 katika shindano la Ineos siku ya Jumamosi nchini Austria Vienna.

Post a Comment

0 Comments