Windows

Ubaguzi wa rangi: Wito watolewa wachezaji kususia mitandao ya kijamii

Mkufunzi wa timu ya soka upande wa akina dada nchini England Phil Neville alisema kuwa wachezaji wanapaswa kususia mtandao ya kijamii ili kutuma ujumbe mzito kwamba ubaguzi hautakubaliwa.

Post a Comment

0 Comments