Windows

Tetesi za soka Ulaya Alhamisi 22/08/2019: Sancho, Neymar, Havertz, Wanyama, Almada

Manchester United imemfanya winga wa Borussia Dortmund na England Jadon Sancho, 19, lengo lao kubwa katika uhamisho wa mwezi Januari na wanajiandaa kutoa dau la £100m. (Sun)

Post a Comment

0 Comments