Vyombo vya habari vya Marekani vilisema siku ya jana kwamba nchi ya Marekani iligundua kombora lililozinduliwa na Jamhuri ya Kidemokrasia ya watu wa Korea (DPRK).
Uzinduzi huo umeripotiwa kufanyika mapema siku ya Ijumaa (leo) na tathmini ya awali ilionyesha kuwa kombora hilo ni sawa na yale yaliyofyatuliwa katika siku za hivi karibuni.
Jamhuri ya Kidemokrasia ya watu wa Korea (DPRK) ilifyatua makombora kadhaa mnamo Julai 25 na Julai 31 na kusababisha wasiwasi huko Seoul na Washingto
0 Comments