

Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa amepiga marufuku sherehe za uzinduzi wa Wakala wa Maji vijijini (Ruwasa) na kuutaka uongozi wa taassisi hiyo mpya kabadilisha matumizi ya zaidi ya shilingi milioni 200 zilitengwa kwa shughuli hiyo zilekezwe kwenye miradi ya maji.





0 Comments