Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya bagamoyo kwa kushirikiana na kampuni ya bsn co. ltd anatangaza uuzwaji wa viwanja katika eneo la makurunge kitalu "n" bagamoyo mjini
viwanja hivyo vyenye matumizi mbalimbali vinauzwa katika eneo la makurunge Bagamoyo mjini;
Viwanja vipo umbali wa kilomita 3.5 kutoka barabara kuu ya Bagamoyo msata inayotumiwa na magari yaendayo mikoa ya kaskazinikutoka Dara es salaam, viwanja vipo umbali wa mita 500 kutoka barabara kuu kuelekea pangani na tanga inayoendelea kujengwa kwa kiwango cha lami na kuwekewa miundombinu ya maji na umeme.
viwanja vipo mpakani mwa eneo la razaba ambalo lime pakana na shamba la miwa la bakhresa na kiwanda cha sukari ambacho kinaendelea kujengwa km 7 kutoka viwanja vipo. eneo lina lopakana na viwanja hivi limeshapimwa huduma zote za jamii zimetengewa maeneo yake, na barabara zimechongwa.
Viwanja hivi vinauzwa kwa gharama zamita ya mraba tsh. 3,900/= kwa kiwanja cha makazi, na tsh. 4,000 kwa kiwanja cha makazi na biashara, taasisi, housing estates. viwanja hivi vina kati ya mitazamraba 450 hadi 11,000.malipo yana husisha na uandaaji wa hatimiliki; malipo ya kiwanja yanaweza kufanywa kwa awamu ndani ya miezisita
kwa mawasiliano zaidi piga simu, 0765-751517 au 0653-461126 au fikaofisiza ardhi Bagamoyo mjini, au fika Ofisi ya Bsn co. ltd iliyopo Bagamoyo mjini karibu na standi ikitazamana na ofisi kuu ya Tanesco.

0 Comments