Mkuu wa mkoa wa Njombe Christopher Olesendeka ameiagiza halmashauri ya mji wa Njombe kuwachukulia hatua watumishi waliosababisha hasara na hoja za mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG) zisizokuwa za lazima.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USIKOSE KU-SUBSCRIBE
0 Comments