Wizara ya elimu sayansi na teknolojia na ufundi imetenga kiasi cha sh. Billion arobaini kwa ajili ya ujenzi wa vyuo vya mafunzo ya ufundi stadi VETA hatua ambayo itasaidia vijana kupata ujuzi ili kwenda sambamba na adhma ya serikali ya awamu ya tano ya uchumi wa Viwanda.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USIKOSE KU-SUBSCRIBE
0 Comments