Windows

VIDEO: MAMA DIAMOND AKANUSHA MWANAE KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA

MSANII nyota wa Bongo fleva, Naseeb Abdul, maarufu kama Diamond Platnumz, anayefahamika kwa jina la Bi Sandra, amekanusha tetesi za mwanae kudaiwa kutumia madawa ya kulevya.

Mama Dangote amesema mwanae amekuwa akifanya kazi sana kila kukicha hivyo anachoka sana na si kweli kwamba anatumia madawa kwani Diamond anajua fika madhara ya kutumia madawa na kama angetaka kutumia basi angeanza zamani alipokuwa akiishi Tandale.

The post VIDEO: MAMA DIAMOND AKANUSHA MWANAE KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA appeared first on Global Publishers.


Post a Comment

0 Comments