Familia moja kutoka kata ya Kipengere, wilayani Wanging’ombe mkoani Njombe imedai haiko salama kwa sasa baada ya kuwapoteza ndugu wawili wa familia moja kwenye matukio ya kuuawa na watu wanaodaiwa ni wakazi wa kijiji hicho, jambo ambalo wameiomba serikali kuwasaidia kuwapa ulinzi kutokana na vitisho vinavyotolewa na watu hao baada ya kufungwa jela na kisha kudaiwa kuachiwa huru.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USIKOSE KU-SUBSCRIBE..
0 Comments