Klabu ya Galatasary ya Uturuki ipo kwenye mazungumzo na klabu ya Genk kwa ajili ya kuhitaji huduma za mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania Mbwana Ally Samatta. Inaripotiwa Genk wamepanga kupata kiasi kisichopungua £10m sawa na takribani Tsh. Bilioni 30.
0 Comments