

Kwa mujibu wa vyanzo vya habari vya nchi hio uamuzi huo kutoa uhuru kwa wanajeshi waislamu kuvaa ushungi wakiwa katika mavazi yao rasmi umefuatia mazungumzo baina ya jeshi hilo na baraza la waislamu la Afrika kusini (MJC).
Uamuzi huo unatarajiwa kuanza kutumika mara baada ya wizara husika kuupitisha rasmi.




0 Comments