Windows

Gareth Bale hayumo katika kikosi cha Real Madrid kitakachocheza na Munich

Gareth Bale amejiondoa katika safari ya Real Madrid ya kwenda Munich kwa ajili ya shindano la kabla ya msimu kufuatia hatua yake ya pendekezo lake la kuhamia Uchina ambalo halikufanikiwa

Post a Comment

0 Comments