Windows

Arsenal yamsajili Dani Ceballos kutoka Real Madrid


Arsenal imemsajili kiungo wa kati Dani Ceballos (22) kutoka Real Madrid kwa mkataba wa mkopo wa msimu mmoja.

Pia timu hiyo leo imetangaza kumsajili beki William Saliba,18, kutoka klabu ya Saint-Ettien ya Ufaransa kwa mkataba wa miaka mitano. Baada ya kusajiliwa Mfaransa huyo amerudishwa St.Etienne kwa mkataba wa mkopo wa msimu mmoja.


Post a Comment

0 Comments