Windows

WAIGIZAJI WANAOINGIZA MKWANJA MREFU ZAIDI DUNIANI

Emma Stone.

JARIDA la Forbes mwaka juzi lilitoa orodha ya waigizaji wa kiume na wakike  kutoka Hollywood walioingiza mkwanja mrefu zaidi kati ya mwezi  Juni 2016 na mwezi Julai 2017 huku likiwatofautisha kwa kutaja orodha ya aliyeingiza mkwanja mwingi zaidi.
Kulingana na Gender Pay Gap Persists ya Hollywood ilitoa orodha  ya 10 bora  waigizaji wote wa kike walioingiza jumla ya $172.5 million. Walioongoza orodha hiyo ya wanadada ni waigizaji wa kike watatu tu walioingiza zaidi ya $20 million kwa miez 12.
Malipo haya yametofautiana sana na ya wanaume kutokana na kutoshiriki kwao kwa wingi kwenye movies za Super Heroes na sababu nyingine nyingi huku 10 bora ya wanaume wakiingiza jumla ya $488.5.
Emma Stone yeye aliongoza kwa wanawake na kushika nafasi ya 15 alipo changanywa na wanaume
Huku muigizaji Mark Wahilberg akitengeneza mara 2.5 ya pesa ya Emma $26 million
Lakini Melisa McCarthy yeye alishika namba 4 kwa wanawake akiingiza $18 million.
Hii list inatokana na mauzo ya Box Office Mojo, na IMDB
Orodha yote hii hapa chini.

1. Mark Wahlberg anaongoza kuwa na mkwanja $68 million

2. Dwayne “The Rock” Johnson, $65 million

3. Vin Diesel, $54.5 million

4. Adam Sandler, $50.5 million

5. Jackie Chan, $49 million

6. Robert Downey, Jr., $48 million

7. Tom Cruise, $43 million

8. Shah Rukh Khan, $38 million

9. Salman Khan, $37 million

10. Akshay Kumar, $35.5 million

11. Chris Hemsworth, $31.5 million

12. Tom Hanks, $31 million

13. Samuel L. Jackson, $30.5 million

14. Ryan Gosling, $29 million

15. Emma Stone, $26 million

16. Jennifer Aniston, $25.5 million

17. Jennifer Lawrence, $24 million

18. Ryan Reynolds, $21.5 million

19. Matt Damon, $21 million

20. Jeremy Renner, $19 million

21. Chris Evans, $18 million

21. Melissa McCarthy, $18 million

23. Chris Pratt, $17 million

24. Mila Kunis, $15.5 million

25. Emma Watson, $14 million

25. Charlize Theron, $14 million

27. Mark Ruffalo, $13 million

28. Cate Blanchett, $12 million

29. Julia Roberts, $12 million

30. Amy Adams, $11.5 million.

The post WAIGIZAJI WANAOINGIZA MKWANJA MREFU ZAIDI DUNIANI appeared first on Global Publishers.


Post a Comment

0 Comments