Windows

Vijiji zaidi ya 120 Tabora kupata maji kutoka Ziwa Victoria


Bomba la Maji kwenda miji ya Tabora,Nzega na Igunga na Vijiji zaidi ya 120 likiunganishwa katika eneo la Solwa. Nzega wataanza kupata maji ya Ziwa Victoria mwezi wa saba, Igunga mwezi wa tisa na Tabora wataanza kupata maji kutoka Ziwa Victoria Novemba mwaka huu


Post a Comment

0 Comments