Mtu mmoja mwenye asili ya uzungu aliyekuja kujifunza masuala ya utamaduni na asilia ya kabila la wasukuma katika makumbusho ya Bujora mkoani Mwanza ameongoza kikundi cha ngoma kwa kucheza  na kuimba lugha hiyo ya kisukuma

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USIKOSE KU-SUBSCRIBE