Mchezaji wa zamani wa klabu ya Arsenal, Sevilla na timu ya Taifa ya Hispania, Jose Antonio Reyes amefariki kufuatia ajali ya gari.
Habari zimethibitishwa kwenye ukurasa wa Twitter wa klabu ya Sevilla, ambapo Reyes aliichezea klabu hiyo michezo 250.
Mchezaji huyo mwenye miaka 35 alikua na klabu ya Extremadura inayoshiriki ligi daraja la pili na kucheza wiki mbili zilizopita.
0 Comments