Windows

Sitaisahau Yanga - Tambwe


Mshambuliaji aliyemaliza mkataba kunako klabu ya Yanga Amissi Tambwe amesema hatayasahau maisha yake ya soka nchini Tanzania hasa klabu ya Yanga ambayo ilimpa mafanikio
Tambwe alitua Yanga mwak 2014 wakati wa dirisha dogo la usajili baada ya kutemwa na Simba
Mshambuliaji huyo mwenye rekodi ya kufunga mabao 72 ligi kuu ya Tanzania Bara, amesema hataisahau Yanga
Tambwe kinara wa mabao ya vichwa kwa sasa yuko kwao Burundi baada ya kumaliza mkataba na Yanga
Hajapewa ofa ya mkataba mpya na viongozi wa Yanga hivyo kuna uwezekano mkubwa atakuwa ameachwa
Hata hivyo amesema ana ofa kutoka timu nyingine za hapa Tanzania na huenda akarejea nchini kuendelea kucheza soka

Post a Comment

0 Comments