Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amekinukisha balaa baada ya kupafomu ngoma yake ya Nasema Nawe aliyoimba na mwanamama Khadija Kopa akiwa katika Uwanja wa Taifa wilayani Kahama usiku wa kuamkia leo, Juni 6, 2019.
katika shoo hiyo ‘Watu wabaya’ aliingilia shoo hiyo wakitembelea magongo ya miti jambo lililoibua shangwe stejini hapo huku mashabiki wakipiga makelele kushangilia kilichotokea
TAZAMA SHOO HIYO HAPA
The post Shoo ya Diamond Yaingiliwa na ‘Watu Wabaya’, Jionee Mwenyewe – Video appeared first on Global Publishers.
0 Comments