Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amefanya shoo yake usiku huu katika uwanja wa Taifa wilayani Kahama ambapo kwa mara ya kwanza amewashangaza mashabiki wake kwa kupanda na kitanda stejini kisha kucheza na Bi Dada mmoja aliyejitokeza stejini hapo.
TAZAMA ALICHOKIFANYA DIAMOND
The post Diamond Apanda na Kitanda Stejini, Amfanyia Kitu Mbaya Dada Huyu – Video appeared first on Global Publishers.
0 Comments