Windows

Magori kuzungumza na Wanahabari leo



Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba Crescentius Magori leo atakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari

Mkutano huo utafanyika saa tisa Alasiri hoteli ya Serena jijini Dar es salaam

Jana Bodi ya Wakurugenzi ya Simba chini ya Mwenyekiti wake Mohammed Dewji 'Mo' ilikutana katika kikao chake cha kawaida

Post a Comment

0 Comments