Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, anafanya shoo yake usiku huu katika Uwanja wa Taifa Kahama mkoani Shinyanga ambapo kwa mara ya kwanza amewashangaza mashabiki wake kwa kupanda na na nyumba ya asili jukwaani pamoja na jiko yaani mithili ya mtu anayeishi kijijini.
Diamond amefanya vituko hivyo wakati akipafomu wimbo wake wa Nitarejea alioimba na mwanamuziki Hawa.
DIAMOND ALIVYOMLIZA DADA HUYU, AJENGA NYUMBA NA KUPIKA JUKWAANI!
The post Diamond Amliza Dada wa Watu, Apanada na Nyumba, Jiko Kisha Kupika Stejini! – Video appeared first on Global Publishers.
0 Comments