


MCHEZAJI wa Singida United, Kennedy Juma, leo ametangazwa kujiunga na kikosi cha Simba kwa kandarasi ya miaka miwili.
Juma anakuwa mchezaji wa pili kwa Simba kupewa mkataba mpya baada ya mlinda mlango Beno Kakolanya kusaini kandarasi ya miaka miwili ndani ya Simba.

The post BREAKING: BEKI ‘MWILI-JUMBA’ ATUA SIMBA KWA MIAKA MIWILI appeared first on Global Publishers.



0 Comments