


Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia akizungumzia mkataba walioingia leo na kampuni ya Romario Sports 2010 LTB. Romario Sports 2010 LTD itakuwa inazivalisha Timu za Taifa zote kwa muda wa kipindi cha miaka mitatu.
The post VIDEO: Mdhamini Mpya Jezi za STARS Huyu Hapa appeared first on Global Publishers.



0 Comments