Windows

Uongozi mpya Yanga waanza na kiporo cha Beno


Uongozi wa Yanga umemaliza sintofahamu iliyokuwepo kati yake na mlinda lango Beno Kakolanya baada ya kumkabidhi barua rasmi ya kukubali kuvunja mkataba wake
Beno hakuwa na kikosi cha Yanga tangu mwishoni mwa mwaka jana baada ya kufanya mgomo uliopelekea kutofautina na kocha Mwinyi Zahera
Mvutano huo ulipelekea Beno kuwasilisha barua TFF akitaka kuvunja mkataba na Yanga
Hatua hiyo sasa inamfanya Beno kuwa mchezaji huru
Kakolanya huenda akajiunga na klabu ya Azam Fc

Post a Comment

0 Comments