Windows

Timu 10 zitakazo shuka dimbani leo TPL, hizi hapa




Leo Ligi Kuu Bara inaendelea ambapo timu 10 zitakuwa uwanjani kumenyana kutafuta pointi tatu muhimu kwenye viwanja vitano tofauti kama ifuatavyo.

Ndanda v Lipuli, uwanja wa Nangwanda.

Mwadui FC v Lyon, uwanja wa Mwadui Complex.

Azam v Mtibwa, uwanja wa Azam.

Yanga v Mbeya City, uwanja wa Uhuru.

Alliance FC v Stand United, uwanja wa Nyamagana.

Post a Comment

0 Comments