

Mabingwa wa ligi kuu ya Tanzania Bara msimu wa pili mfululizo, Simba wamekabidhiwa ubingwa mkoani Morogoro baada ya mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar uliomalizika kwa suluhu ya bila kufungana
Mgeni rasmi wa hafla hiyo alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Mh Kangi Lugola ambaye aliambatana na Mtendaji wa Bodi ya Ligi Boniface Wambura na viongozi waandamizi wa TFF
Huo ni ubingwa wa 20 kwa kikosi cha Simba



0 Comments