Windows

Simba kuifuata Mtibwa Sugar leo Jumatatu



Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba wanaondoka leo Jumatatu kuelekea mkoani Morogoro kukamilisha ratiba ya mchezo wa mwisho wa kumaliza msimu dhidi ya Mtibwa Sugar

Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumanne katika uwanja wa Jamhuri

Simba itakabidhiwa taji la ligi kuu baada ya mchezo huo

Post a Comment

0 Comments