PARIS, Ufaransa MWANARIADHA wa Afrika Kusini, Caster Semenya, ameshindwa katika kesi muhimu dhidi ya Shirikisho la Riadha Duniani (IAAF), ikimaanisha kuwa shirikisho hilo litaruhusiwa kudhibiti viwango vya homoni za wanariadha wa kike. Mahakama ya utatuzi wa migogoro michezoni (CAS), imekataa […]
0 Comments