Windows

ROMA ATUPIA DONGO: UNAOFUTURISHA WASIOFUNGA ILI UPOSTIWE?

RAPA maarufu wa Bongo, Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ ametupa dongo kwa watu maarufu ambao wamekuwa wakifuturisha mastaa wenzao na wengine ambao hawajafunga huku wakiwaacha watu wenye uhitaji wa iftar hiyo, ambao ni maskini, wazee, walemavu, yatima na wasiojiwza.

 

Roma kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii ameandika.

The post ROMA ATUPIA DONGO: UNAOFUTURISHA WASIOFUNGA ILI UPOSTIWE? appeared first on Global Publishers.


Post a Comment

0 Comments