Windows

Matokeo Azam vs KMC Leo

Matokeo Azam vs KMC Leo

Mechi kati ya Azam Fc dhidi ya KMC imemalizika katika uwanja wa Azam (Azam Complex) kwa timu hizo kgawana alama 1 kila moja.

Matokeo yamekuwa ya sare ya bila kufungana yani 0 kwa 0 na kufanya Azam kuendelea kubakia katika nafasi ya tatu huku wakiwa hawawezi tena kuwa nafasi ya pili

The post Matokeo Azam vs KMC Leo appeared first on KWATA UNIT SPORTS & ENTERTAINMENT.



Post a Comment

0 Comments