Windows

MAN CITY YAICHAPA 1-0 LEICESTER CITY,YAKARIBIA KUTWAA UBINGWA ENGLAND

AA

Washambuliaji Raheem Sterling na Sergio Aguero wakimpongeza beki na Nahodha wao, Vincent Kompany baada ya kuifungia bao pekee Manchester City dakika ya 70 ikiilaza 1-0 Leicester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku huu Uwanja wa Etihad. Kwa ushindi huo, Man City inafikisha pointi 95 baada ya kucheza mechi 37 na kurejea tena kileleni mwa Ligi Kuu ikiizidi pointi moja Liverpool PICHA ZAIDI SOMA HAPA

Post a Comment

0 Comments