Wakati kukiwa na hali ya kusubiriwa kuhusu ni wachezaji gani YANGA wataachwa na wale ambao wataongezwa kwaajili ya msimu ujao mengi yameendelea kuandikwa na kutokea.
Juzi kati kiungo wa Yanga Thaban Kamusoko aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa nimewamiss (Wachezaji wa Yanga) huku akisema walikuwa zaidi ya marafiki.
Mis u guys and i dont have other words to say it.mic u rafiki zangu na kusema rafiki nikusema tu ila mulikua zaidi ya marafiki
Ujumbe huo ulitafasiriwa na watu wengi kama ni kauli ya kuaga watu na baada ya hapo mijadala ilikuwa mingi na Kamusoko mwenyewe jana akafunguka kwa staili ya kama hakuwa anaaga mtu na kama vile yeye bado yuko Yanga kwahiyo kauli yake isitumiwe kama njia ya kuondoka Yanga.
Bali yeye aliandika anawamiss kwakuwa ni watu ambao amekuwa nao kwa muda wa miaka minne, Kwasasa Kamusoko yuko timu ya Taifa ya Zimbabwe.
Hapa najiuliza maswali kama mtu kawa na watu kwa 4 years alafu kila siku asubuhi anakua nao au ku kaa nao camp kwa mda murefu.na tu fanye mambo mengi wote.. sasa kama ukisema unawamic imekua shida daahh hatari..

0 Comments