

Mchezo wa kufunga msimu ligi kuu ya Tanzania Bara kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Simba umemalizika kwa suluhu ya bila kufunga
Mchezo huo ulishuhudiwa na idadi kubwa ya mashabiki wa Simba waliofurika uwanja wa Jamhuri, kushuhudia mabingwa Simba wakikabidhiwa taji lao
Baada ya mchezo huo hafla ya kuikabidhi Simba ubingwa inafuatia
Waziri wa Mambo ya Ndani Mh Kangi Lugola,ndiye mgeni rasmi wa hafla hiyo



0 Comments