

Mshindo Msolla ametangazwa kuwa mshindi wa kiti cha Uenyekiti ndani ya klabu ya Yanga huku Makamu wake akiwa ni Fredrick Mwakalebela.
Yanga imefanya uchaguzi wake katika Bwalo la Maafisa wa Polisi leo jijini Dar es Salaam ikiwa ni baada ya shinikizo la serikali kutokana na kutokuwa na uongozi kwa muda mrefu.
Tutakuletea taarifa kamili juu ya matokeo ya uchaguzi huo, endelea kuwa nasi.




0 Comments