Windows

AS Vita wakanusha tetesi za Fabrice Ngoma kusajiliwa kwingine

AS Vita wakanusha tetesi za Fabrice Ngoma kusajiliwa kwingine

Klabu ya As Vita ya nchini Congo wababe wa Kinshasa hawa wamekanusha taarifa ambazo zimezagaa kwenye mitandao na vyombo vingi vya habari kuwa mchezaji wao amejiunga na Raja Athletic Club.

Kupitia ukurasa wao wa Instagram As Vita wameandika kuwa mchezaji huyo hajaenda nchini Morocco kama ambavyo imekuwa ikielezwa

Huku kuthibitisha kauli hiyo akionekana kupiga picha na moja ya viongozi wa klabu hiyo ya As Vita huku wakisisitiza mchezaji huyo hajasaini na klabu hiyo.

The post AS Vita wakanusha tetesi za Fabrice Ngoma kusajiliwa kwingine appeared first on KWATA UNIT SPORTS & ENTERTAINMENT.



Post a Comment

0 Comments