Windows

UONGOZI SIMBA WATOA TAMKO JUU YA JOHN BOCCO KUKOSA PENATI, MASHABIKI WATAJWA


Uongozi wa klabu ya Simba kupitia kwa Ofisa Habari wake, Haji Manara, umesema suala la kukosa penati kwa mchezaji wake, John Bocco dhidi ya TP Mazembe ni jambo la kawaida kabisa.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Manara ameandika kuwa watu pekee wasioujua mpira hawawezi kuelewa kwanini Bocco alikosa penati hiyo.



Post a Comment

0 Comments