Emmanuel Okwi na Cleotus Chama wameanza mazoezi na kikosi ch Simba kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro, leo.
Chama raia wa Zambia na Okwi kutoka Uganda wameungana na kikosi hicho jana.
Simba inashuka dimbani kesho kuivaa JKT Tanzania kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Okwi na Chama walichelewa kujiunga na kikosi hicho kilichotangulia Morogoro.
0 Comments