Windows

MJASIRIAMALI WA ARUSHA ALIVYOBEBA MILIONI 30 ZA JACKPOT BONUS YA SPORTPESA






DAR ES SALAAM, Tanzania -Mtanzania Joseph Elipidy Hugo amechomoka na kitita cha Tsh 29,565,669/= kwenye Bonus ya Jackpot ya SportPesa ya wikiendi
iliyopita.


Hugo ambaye ni mkazi wa Ngarenaro jijini Arusha ameshinda mechi 11 kati ya 13 za Jackpot ya wiki iliyopita ambayo iliyokuwa na thamani ya Tsh 570,307,520/=.


Hugo ambaye ni mjasiriamali mdogo mdogo, ameanza kucheza na SportPesa mwaka mmoja na nusu uliopita huku akivutiwa zaidi na kiasi kikubwa cha Jackpot kinachotolewa wiki hadi wiki

“Mimi ni mjasiriamali mdogo mdogo ninayejishughulisha na biashara za uwakala na
uuzaji wa vifaa vya simu, nimeanza kucheza na SportPesa kwa mwaka mmoja na nusu sasa na kinachonivutia kucheza Jackpot ya SportPesa ni kiasi kikubwa cha Tsh 585,214,580,” alisema Hugo.




Malipo Papo Hapo
Licha ya kuvutiwa na kiasi hicho cha pesa cha Jackpot, Hugo anapenda kucheza na SportPesa kutokana na huduma bora za malipo  Papo Hapo baada ya mechi kuisha.


“Utofauti wa SportPesa na makampuni mengine ni malipo Papo hapo ambapo ukishinda tu hela inaingia muda huo huo. Huhitaji kwenda kwa wakala kutoa na
unaipata popote ulipo bila usumbufu.


Kuboresha biashara
Mwisho wa siku, Hugo kama wajasiriamali wengine amepanga kukitumia kiasi hicho cha pesa kuboresha na kuiongezea ufanisi biashara yake.


“Ushindi huu utanipa mabadiliko kwenye biashara yangu kwani hela hii itaingia kwenye mzunguko wa biashara yangu hivyo nathubutu kusema kuwa SportPesa imenibadilishia maisha yangu.
Jackpot wiki hii.


Unataka kushinda kama Joseph Hugo wiki hii? Basi piga *150*87# au tembelea
www.sportpesa.co.tz kucheza Jackpot ya SportPesa ushinde Tsh 585,214,580/=
kwa Tsh 2000 tu bila kusahau Bonus za Mamilioni ukipatia kuanzia mechi 10, 11 na
12.

Post a Comment

0 Comments