

Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, amemtaka Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera kukaa mbali na timu ya Simba.
Kauli ya Manara imekuja mara baada ya kusema anawataka TFF kuitendea haki ratiba ya mechi za ligi kwasababu ana uhakika watachukua ubingwa wa ligi endapo watashinda mechi 10 zijazo.





0 Comments