

Daktari wa timu ya Yanga, Edward Bavu amefiwa na baba yake mazazi katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.
Tayari daktari huyo ameshaondoka mjini Iringa alikokuwa na kikosi cha Yanga kwa ajili ya mechi na Lipuli na sasa ameshaanza safari kuelekea Dar es Salaam kwa ajili ya kuanza taratibu za mazishi.





0 Comments