Windows

SERENGETI YAANZA UEFA ASSIST KWA KUPOTEZA 1-0 DHIDI YA GUINEA





Kikosi cha timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys kimeanza michuano ya Uesfa Assist kwa kupoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Guinea.

Mechi hiyo iliyopigwa kwenye Uwanja wa Emri Complex, ilitawaliwa na Guinea katika kipindi cha kwanza kabla ya Serengeti kuibuka katika kipindi na kuonyesha uhai katika kipindi cha pili.


Serengeti Boys jana ilifanya mazoezi yake ya mwisho kabla ya mechi ya leo ambayo ni ya Kundi la Kwanza na timu nyingine zilizo katika kundi hilo ni wenyeji Uturuki pamoja na Australia.


Post a Comment

0 Comments