KIKOSI cha Yanga kimeingia uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwa mbwembwe huku wakipitia mlango ambao haukupaswa kuingia wachezaji kwa kukwepa Figisu za Simba.
Wakati Kikosi hicho kinaingia kimebadilisha mlango na kupitia malngo wa nyuma huku mashabiki wa Yanga na makomandoo wakitoa maneno ya kuonyesha wanakwepa hujuma.
0 Comments